Michezo

Video: Mamadou Sakho achukua pointi tatu za Beckham TZ

Mamadou Sakho ambaye alikuwa nchini tangu wiki iliyopita kwa ajili ya mapumziko ameonyesha kufurahishwa na mazingira ya Tanzania.

Mchezaji huyo wa timu ya Liverpool ya Uingereza, alitinga nchini akiongozana na familia yake, akiwemo mkewe Majda Sakho pamoja na watoto wao wawili Aida Sakho (4) na Sienna Sakho (2).

Sakho kupitia mtandao wake wa kijamii amepost video ikiwaonyesha kuwa wapo kwenye moja ya mbuga za wanyama hapa nchini huku akiongea maneno lugha ya Kiswahili na kuandika ujumbe wa kuisifia Tanzania.

“Thank you very much for the warm welcome here in Tanzania ????✨ #Safari #Holidays #SakhoFamily ? @majdasakho,” ameandika mchezaji huyo katika video yake hiyo.

Kitendo hicho kimeonekana kuwavutia watu wengi akiwemo aliyekuwa mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro tofauti na ilivyokuwa kwa Beckham ambaye alitembelea nchini kimya kimya siku chache zilizopita huku akishindwa kuitangaza Tanzania katika picha alizoweka katika mitandao yake ambazo alipiga alipokuwa katika sehemu alizotembelea.

Hizi ni baadhi ya comment za wadau katika mtandao wa nstagram.

abdito5:Karibu Tanzania Enjoy your Stay ????@mamadousakho3 You Will never walk alone

dianaflave_:Welcome

mtana255:Karibu TANZANIA. Enjoy your stay..

official_dstopilla:Thanks for visiting us @mamadousakho3

minza5369:Enjoy your safari.

jerrymuro1980:Great one, beautiful country with peace and love, Tanzania is the roof of Africa #mtkilimanjaro @mamadousakho3

universalbodyfitness:Asante Sana. karibu Tanzania

kebro_awesome:Welcome to Tanzania, we love you and support you #ynwa

jonathanermas:Wellcome once again!! We warmly appreciate your visit!!@davidbeckham

missez_emrecan23:Tanzania the land of mountain Kilimanjaro ??????????
@mamadousakho3 you ‘ll never walk alone ?

dl_gis:????????Your welcome in our good country ????????

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents