Burudani ya Michezo Live

Video: ‘Mambo mawili makubwa kama Simba wanataka Ubingwa mbele ya Mtibwa Sugar Mapinduzi Cup”- Abbas Pira

Mchambuzi wa soka hapa nchini, Abbas Pira imesema kuwa Simba SC inapaswa kuitisha mkutano wa kiufundi kwa waalimu kama wanahitaji kuifunga Mtibwa Sugar na kuibuka na ubingwa kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi ambao utapigwa January 13 2020.

Simba ilitinga fainali baada ya kuwafunga dhidi ya Bingwa mtetezi Azam FC , wakati wapinzani wao Mtibwa Sugar waliingia hatua hiyo kwa kuwasukumiza nje ya miachuano hiyo Young Africans hatua ya nusu fainali.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW