Burudani
Video: Mambo mawili muhimu kuhusu albamu mpya ya Wakazi ‘Kisimani’
Msanii wa muziki wa Hip Hop Bongo, Wakazi ameweka wazi kilichochelewesha albamu yake ya Kisimani, huku akitaja tarahe itakayotoka albamu hiyo. Mtazame hapa.
https://www.youtube.com/watch?v=mG7YT56hVYM&t=7s