Michezo

Video: Man United yatakata Marekani, waichakaza Man City bila huruma

By  | 

Klabu ya soka ya Manchester United imeendeleza ushindi katika mechi zake za kirafiki huko nchini Marekani.

United ambao walikuwa wakicheza na majirani zao Manchester City asubuhi hii katika mechiya kirafiki ya kombe la International Champions Cup 2017 mjini Houston, imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0.

Magli hayo ya Man United yamefungwa na Romelu Lukaku dakika ya 37 na Marcus Rashford dakika ya 39.

Mchezo hu pia ulihudhuriwa na rapper kutoka mjini Toronto, Drake ambaye pia ni rafiki wa karibu wa mchezaji wa Manchester United, Paul Pogba. Tazama magoli hayo hapa chini.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments