Michezo

Video: Manara afunguka kuhusu ajali ‘Mashabiki wetu wamepata ajali, wamekwenda kuchukuliwa’

Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara muda mchache akiwa nchini Zambia kwaajili mchezo wao dhidi ya Nkana FC amezungumzia ajali waliyopata mashabiki wa timu hiyo wakiwa njiani kwenda kuwashuhudia wekundu hao wa Msimbazi.

Kwa upande mwingine, Manara amesema kuwa hali ya kikosi cha timu hiyo ni nzuri na wanaendelea na mazoezi mepesi.

BREAKING: Basi la klabu ya Simba lapata ajali Zambia baada ya kugongana na lori

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents