Michezo

Video: Manara atangaza vita Klabu bingwa Afrika ‘Wajibu wetu kupambana kushinda ubingwa wa Afrika’ 

Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amesema kuwa baada ya ratiba ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika kutoka ni wajibu wao sasa kuhakikisha wanashinda taji hilo kwakuwa inawezekana.

Manara ameyasema hayo kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram akiwa Dubai, huku akisisitiza kuwa lazima kushinda ili kutimiza ahadi ya Rais Magufuli.

De le boss ,De le boss,De le boss Governor!!
Twendeni tukaionyeshe Afrika cc ni nani na nn maana ya Simba!!
1993 kwenye kombe la CAF tulianza na Team toka Msumbiji kisha tukaja kwa Waswazi,this time tunaanza na Waswazi kisha watakuja Msumbiji or Zambia
INAWEZEKANA

Shirikisho la soka barani Afrika CAF limetoa ratiba ya mchezo wa kwanza wa michuano hiyo ambapo Simba ikiwavaa Mbambane Swallows ya Swarzland.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents