Michezo

Video: Maradona amtandika kofi mwandishi wa habari

Mchezaji wa zamani wa Argentina, Diego Maradona ameibuka na skendo nyingine nchini Argentina baada ya kumzaba kibao mwandishi mmoja wa habari ambaye inasemekana aliongea maneno machafu kuhusu mke wa zamani wa Maradona. Tazama video ya tukio hilo.

http://youtu.be/-J96XPlYd1k

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents