Tia Kitu. Pata Vituuz!

Video: Mashabiki wa Simba wapanga kikosi hiki kummaliza mtani dakika za mapema, ‘Yanga tutamchinja nyuma ya Shingo, sio mbele ya koo’

Mashabiki wa Simba wapanga kikosi kitakacho muua Yanga uwanja wa Taifa Jumapili ya tarehe 8/03/2020. Mashabiki hao wa Tawi la Sweet Corner wamesema Watamchinja Yanga nyuma ya shingo ili kumpatia maumivu na sio mbele ya koo kama ilivyo kawaida kwa mchinjaji.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW