Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Video: Mashabiki wa Simba watokwa povu kisa group lao ‘Sisi siyo underdog’

Mashabiki wa klabu ya Simba na Yanga wazungumzia uwezo wa wakilishi hao wa nchi Wekundu wa Msimbazi dhidi ya wapinzani wao wa kundi ‘D’ lenye timu za JS Saoura ya Algeria, AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Al Ahly ya Misri katika Ligi ya Mabingwa Afrika.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW