Michezo

Video: Masoud Djuma mambo shwari Simba, birthday yake yafana

Katika kuonekana kama mambo ni shwari ndani ya klabu ya Simba baada ya kudaiwa kutokuwa na maelewano mazuri na baadhi ya uongozi kocha msaidizi wa timu hiyo raia wa Burundi, Masoud Djuma ameonekana akiwa mwenye furaha sambamba na wachezaji wake wakati akisherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Hata hivyo Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Simba, Haji Manara alikanusha taarifa hizo na kuziita kuwa za uongo. Djuma kudaiwa kuondoka kwa sababu ya kutofautiana na kocha mkuu Patrick Aussems

 

Related Articles

4 Comments

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents