Msanii wa muziki Bongo, Maua Sama ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Amen’, akimshirikisha Ben Pol wakati kichupa hicho kikiongozwa na Hanscana. Itazame hapa.
https://www.youtube.com/watch?v=Da7wv0hcDxk