Burudani

Video: Maurice Kirya atoa albam na video mpya ‘Mwooyo’ , ‘Never Been Loved’

Muimbaji Maurice Kirya wa Uganda ametoa albam yake mpya ikiwa ni ya tatu ‘Mwooyo’, sambamba na video ya wimbo mpya uitwao ‘Never Been Loved’ ambao upo katika albam hiyo. Video imeongozwa na director Enos Olik wa Kenya.

Uzinduzi wa albam hiyo ulifanyika kwenye mgahawa wake ‘The Sound Cup’ jijini Kampala, Uganda Alhamisi iliyopita.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents