Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Video mbili zaingia MTV Base..!

Video za wasanii wawili wa Bongo Flava Juma Nature pamoja na Langa wa lililokuwa kundi la zamani la Wakilisha Pop Stars,zimetinga ndani ya Channel ya MTV Base inayorushwa na DSTV kwenye channel 88.

Video za wasanii wawili wa Bongo Flava Juma Nature pamoja na Langa wa lililokuwa kundi la zamani la Wakilisha Pop Stars,zimetinga ndani ya Channel ya MTV Base inayorushwa na DSTV kwenye channel 88.

Langa

Taarifa za kuaminika zilisema video za wasanii hao zilizochukuliwa ni (MgongoMgongo) ya Sir Juma Nature na (Matawi ya Juu) ya Langa.

Video hizo mbili zilianza kuonyeshwa kwenye channel hiyo weekend hii na zinatarajiwa kuangaliwa na watazamaji zaidi ya milioni 40 kwa hapa Afrika.

Kurushwa kwa Video hizi kwenye channel hiyo ni moja ya hatua kubwa tu kwa muziki huu wa kizazi kipya ktk kuelekea kwenye soko la kimataifa.

  • SOURCE: Darhotwire

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW