MichezoVideos

Video: Mchezaji wa zamani wa Barcelona Mbrazil Ronaldinho aonesha kipaji kingine cha muziki, atoa wimbo wake

Legendary wa soka kutoka Brazil aliyewahi kuwa mcheza soka wa mwaka wa Fifa mara mbili, Ronaldinho pamoja na yote makubwa aliyoifanyia nchi yake katika medani ya soka, amekionesha kipaji kingine ambacho hakuwahi kukionesha, kwa kuingia booth na kurekodi wimbo.

Ronaldinho ambaye amewahi kuichezea Barcelona na AC Milan ametoa video ya wimbo alioshirikiana na rapper wa Brazil aitwaye ED City uitwao ‘Vai na fe’ (‘Go in Faith’). Kwa sasa mchezaji huyo yuko na timu ya soka ya Brazil Atletico Mineiro.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents