Soka saa 24!

Video: Mdundiko unaenda poa, Tunahitaji majadiliano kati ya wasanii na Serikali – Joh Makini

Video: Mdundiko unaenda poa, Tunahitaji majadiliano kati ya wasanii na Serikali - Joh Makini

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo kutoka kundi la Weusi, Joh Makini amesema kuwa nyimbo yao mpya ya Mdundiko inakwenda vizuri huku akiomba kuwe na majadiliano baina ya wasanii na Sanerakili kuhusiana na ada mpya zinazotozwa na BASATA.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akiizungumzia tozo hiyo ya tsh milioni 5 mbele ya Waandishi wa Habari Jumamosi Julai 14, 2018 amesema kuwa ada hiyo haiwahusu kabisa wasanii kwani inatozwa kwa makampuni.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW