Burudani

VIDEO: Media zimesababisha Watanzania waache kufuatilia vitu vya msingi – GABO

Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Gabo amesema kuwa vyombo vya habari vikitumika vizuri vinaweza kuipeleka mbali Tanzania, lakini kwa sasa kuna baadhi ya habari zinapelekea Watanzania walio wengi kushindwa kufuatilia mambo ya msingi ya maendeleo na badala yake kufuatilia vitu visivyo vya msingi.

Gabo amefunguka hayo kwenye mahojiano yake na Bongo5 usiku wa kuamkia leo jijini Dar Es Salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents