Videos

Video: Mesen Selekta akionesha studio zake mpya kwenye ‘The Session’

Studio za De Fetality zinazomilikiwa na producer Mesen Selekta zilikuwa zikijulikana kwa kuwa sebuleni lakini baada ya beatmaker huyo kuuchanga, sasa amezihamishia kwenye ofisi nzuri na ya maana. Mtazame hapa kwenye show ya online inayotayarishwa na kampuni ya Creative Mindz na mtangazaji akiwa Kenedy The Remedy wa East Africa Radio.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents