Habari

Video: Mfahamu mtu anayeishi na wadudu zaidi ya 400 ndani ya nyumba akiwemo mamba, nyoka, kinyonga na wengine

Mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Philippe Gillet ameamua kuishi na wadudu zaidi ya 400 nyumbani kwake bila hofu yoyote huku akishirikiana nao katika shukhuli mbalimbali za nyumbani.

https://www.youtube.com/watch?v=OcM4gVfQuvI

Gillet rai wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 67 ameyaweka wazi namna anavyoishi na wadudu hao wakali akiwemo nyoka, mamba, tandabui na wengineo huku wengine wakifika hadi eneo la ‘living room’ na kwenye meza za kulia chakula.

Mzee huyo amesema kuwa baadhi ya dudu wakubwa kama mamba huwapatia kuku kama sehemu ya chakula chao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents