Burudani

Mfahamu Rasco rapper anayetishia nafasi za mastaa wengine (Video)

Ni kweli kanda ya ziwa wamebarikiwa zaidi kuwa na vipaji vya wasanii wa Hip Hop? Basi Rasco na yeye ni miogoni mwa wasanii wanaotokea sehemu hiyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya ‘Choro’ ambao amemchirikisha Coyo. Rapper huyo amefunguka kuhusu ugumu aliokutana nao kwenye muziki kwa sasa, uongozi wake na kufanya kazi na producer D Classic ambaye ni meneja wake. Msikilize hapa chini alichokisema Rasco.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents