Michezo

Video: Mike Tyson amtukana live mtangazaji wa TV ya Canada aliyemuuliza swali la kipuuzi

Mtangazaji wa TV wa nchini Canada, Nathan Downer alijikuta akijuta kufanya mahojiano na Mike Tyson,baada ya kuporomeshewa mvua ya matusi kutokana na swali la kipuuzi alilouliza.

https://www.youtube.com/watch?v=83-ucabW-9I

Downer alimuuliza bingwa huyo wa zamani wa masumbwi kama kukutana kwake na meya wa Toronto, Rob Ford, wakati yeye ni ‘mbakaji aliyewahi kufungwa’ kunaweza kuharibu kampeni ya meya huyo. “Some of your critics would say, ‘This is a race for mayor, we know you’re a convicted rapist, this could hurt his campaign.’ How would you respond to that?” aliuliza Downer.

Tyson, ambaye alidhani alikuwa kwenye interview hiyo kwaajili tu ya kupromote show yake alijibu: “Who said that? You’re the only one I heard say that. I don’t have no comment to that, because it’s negative, you’re being negative.” Aliongeza: It’s so interesting because you come across like a nice guy but you’re really a piece of s***. F*** you, that was a piece of s***.”

Mtangazaji huyo alijaribu kumweleza Mike kuwa yupo live kwenye TV lakini haikusaidia. “What are you going to do about it?” Mike alimuuliza mtangazaji huyo.

Downer alijitahidi kutotetereka na kurejesha hali sawa lakini Tyson hakuwa amemaliza.

“You’re a piece of s***, you really are,”
Tyson aliongeza kabla ya Downer kuamua kukatisha mahojiano hayo.
Baada ya mahojiano Downer alitumia Twitter kuelezea hali hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents