Burudani

Video: Millard Ayo aiweka wazi mipango yake mikubwa mwaka huu

Tumepiga story na mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo kuhusiana na mipango yake mikubwa ya mwaka huu.

Miongoni mwa aliyotuambia ni pamoja na hivi karibuni atatambulisha mambo matano atakayokuwa akiyafanya kupitia studio yake ya nyumbani. Pia ametueleza jinsi ambavyo aliomba kujitolea kuripoti bure kwenye kipindi cha Mambo Mseto cha Radio Citizen ya Kenya na kisha bosi wa Citizen TV kumtafuta na kumpa kazi ya kuwa ripota wa Tanzania wa kituo hicho na atakuwa akilipwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents