Burudani

Video: Mimi na Nandy hatukutani sana kama watu wanavyodhani – Bill Nass

Msanii wa muziki Bongo, Bill Nass amesema yeye na msanii mwenzie Nandy hawana ukaribu kama wengine wanavyodhani.

“Hakuna mahali mimi na yeye tunakutana, hata picha ya pamoja tuliwai kupiga Fiesta tu kwa sababu ndio sehemu tulikutana tukapiga stori mbili tatu , hatukutani sana kama watu wengine wanavyodhani ,” Bill Nass ameiambia Bongo5.

“Ni vitu ambavyo tunavichukulia poa tu kwa sababu huwezi kushindana na media, kwa sababu mimi hii siyo stori yangu ya kwanza nishahusishwa na stori za watu wengi na hazikuwa na ukweli wowote,” ameongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents