Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Video: Mo Dewji afunguka haya kuhusu mabadiliko ya Simba na mipango yake

Mshindi wa Zabuni wa klabu ya Simba, Mohamed Dewji amefunguka kuzungumzia mabadiliko ya klabu hiyo pamoja na mipango yake baada ya miaka kadhaa. Amesema hayo mapema Jumatatu hii katika usiku wa utoaji wa tuzo za Mo Simba Award 2018 zilizoandaliwa kwaajili ya kuwapongeza wachezaji waliofanya vizuri msimu huu.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW