Videos
Video: Mo Music Ft. Baraka The Prince – Usiniache
Msanii wa muziki wa bongo fleva, Mo Music baada ya kuwa kimya ameachia hii video mpya wimbo unaitwa ‘Usiniache’, amemshirikisha Baraka The Prince, Video imeongozwa na Yotham Lyobha.
https://youtu.be/PIv7dwfb7IY