Burudani

Video: Mpoto wimbo mpya

 

Msanii mahiri wa mashairi nchini Mrisho Mpoto hivi karibuni ametoa wimbo mpya unaoitwa Adela akiwa amemshirikisha Ismail amenimba vibwagizo katika wimbo huo.

Mpoto aliongea na Bongo5.com ofisini kwake Kinondoni jijini Dar es Salaam alisema “Adela nyoosha kidole sina nia mbaya ya kukurudisha Darasani”. Mkali huyo wa mistari alisema wimbo huo umejaa mashairi makali,na vina wenye ujumbe mzito.

Mpoto alisema siwezi kuelezea kwanini niliamua kuimba wimbo huu lakini ukiisikiza mistari yangu, utaelewa ninaamanisha nini.

Wimbo huu tayari uko redioni na pia unapatikana madukani, wakati Bongo5 tunamfanyia Mpoto mahojiano alikuwa akifanya mazoezi ya maandaliza ya wimbo wake mpya atakaouzindua leo chuo cha Goeth na hakutaka kulizungumzia hilo, na alisema “kwa maelezo zaiidi njoo leo jioni nitaweka wazi”.

Pata exclusive video ya wimbo wake mpya hapa chini

{youtube}IWEkr5oKm_0{/youtube}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents