Burudani

Video Mpya ya Ben Pol ‘Ningefanyaje’ kutambulishwa kwa mara ya kwanza SoundCity Tv Nigeria Dec.12

Ben Pol amezianza rasmi mbio za kuelekea safari yake ya kimataifa, kwanza kwa kufanikiwa kushoot video yake ya kwanza na director wa nje, Justin Campos wa Afrika Kusini, na sasa video hiyo imepewa baraka za kutambulishwa na kituo kikubwa cha runinga cha Nigeria, SoundCity TV.

ben soundcity

Video ya ‘Ningefanyaje’ aliyomshirikisha muimbaji mrembo wa Kenya, Avril pamoja na Rossie M itatambulishwa kwa mara ya kwanza Jumamosi Dec.12 kwenye kipindi cha Top 10 East saa tano asubuhi saa za Afrika Mashariki.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents