Burudani

Video Mpya ya Jaffarai kutoka leo

Video Mpya ya Jaffarai ambayo imefanywa na Kalage imetoka kwa mara ya kwanza leo na Jaffarai akaona si vibaya akianza kuileta kwetu hapa bongo5. Jaffarai kwa sasa ni mzima kabisa na anapiga mzigo kama kawaida baada ya kufanyiwa upasuaji na kuondolewa appendix [soma zaidi kuangalia video mpya]

Angalia video kwa mara ya kwanza hapa

{youtube}n9XzOSuGdRY{/youtube}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents