Burudani

Video mpya ya Nay wa Mitego yataka kumharibia kwa mpenzi wake, ‘ni kweli we ndo unastahili kushika hicho kifua bt ni kazi tu…’

Nay wa Mitego ametoa video mpya ‘Nakula Ujana’ wiki iliyopita ambayo imefanyika nchini Kenya. Katika video hiyo Nay ameonekana akila ujana haswaaa huku akiwa amezungukwa na mabinti wazuri watano wa Kenya, waliojifunga taulo huku wakichezea kifua cha hit maker huyo wa ‘Muziki gani’ ambacho kiko wazi.

ujana2

Inavyoonekana video hiyo imeleta wivu kwa mpenzi wa Nay hasa kutokana na jinsi alivyojiachia na warembo hao, hali iliyopelekea Nay atumie Instagram kumtoa wasiwasi ‘mrs Nay’ juu ya wasichana hao walioonekana naye kwenye video, hiki ndicho alichokiandika;

nay

“Daaaaah!! #Nakula #ujana #video inataka kuharibu kwa bby… #966 ckiliza mrs nay hii ni video 2 hakuna kingine kilichoendelea baada ya apo,,, ni kweli we ndo unastahili kushika icho kifua bt ni kazi 2 na nikatika kufanya ki2 kizuri.. plzz tusigombane bcoz of zat zic video,, sawa angeweza act m2 mwingine bt ckuona haja yakumuweka m2 nilitakiwa kuonyesha uhalisia kidogo…@wemalious mi penda wewe sana kila m2 anajua,, wale mabinti wa kikenya wackupe presure#966″.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents