Videos

Video mpya ya Octopizzo ‘NINI’ aliyomshirikisha Miss Karun (Hot)

Wanamuita ‘Kibera’s finest’, ni yule rapper na mjasiriamali kutoka Kenya aliye-make headlines sana mwaka jana na kupata mafanikio kupitia biashara anazofanya nje ya muziki, this time around Octopizzo ametoa video mpya ‘NINI’ aliyomshirikisha aliyekuwa member wa Camp Mulla, Miss Karun.

Octopizzo-and-Karun

Hivi ndivyo Octo alivyoitambulisha video yake kupitia channel yake ya youtube:

NINI! is a song based on a Swahili word NINI meaning ‘WHAT!? in English, or WHAT IS? in SwagHili. The song is dedicated to all party animals,and also those people who have once fallen victims to ill-mouthed characters -cyber bullies or qwerty gangsters, just stay positive as they keep on talking we keep on moving..”jomba ukibonga mzae mi-na-songa”.. ACROSS THE GLOBE.. NINI! – Spanish word to describe a young, rebel & global generation only interested in party, Mo job, Mo study, XTREEEEM PARTYIIIING!!!!!. have fun.. #ItsNumberNaneBaiiby! #SwagHili

Octopizzo amerap wimbo mzima mwenyewe lakini katika video ndio Ms Karun ameonekana.

Itazame

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents