Habari

Video mpya ya Stamina yapata msukosuko

Mkali wa muziki wa Hip Hop kutoka Morogoro, Stamina baada ya jana kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Love Me’ aliomshirikisha Maua Sama, leo hii aliripoti kuwa akauti yake ya YouTube kuibiwa lakini baada ya saa moja ilirejea hewani.

Stamina

Stamina kupitia Instagram ameandika ‘Daah!, Bongo bwana miyayusho sana, tukijitahidi hata kwa juhudi zetu kutafuta ugali wetu kwa kutumia jasho letu na vipaji vyetu bado watu hawaoni. Wamehack account yangu ya YouTube aisee!! nisipate viewers wengi? au ili nisisonge mbele kimziki??? too sad ila sitokata tamaa mpaka mwisho wa uhai wangu, mashabiki zangu samahani kwa usumbufu tatizo linashughulikiwa nitawajulisha wataalamu wakimaliza kulisolve,” aliandika Stamina kabla haijarejea. By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents