Burudani

Video: Mtoto wangu niliyemzaa na marehemu Martha bado sijampata – Mbosso

Video: Mtoto wangu niliyezaa na marehemu Martha bado sijampata - Mbosso

Msanii wa muziki Mbosso amefunguka kuzungumzia sababu ya kuweka picha za marehemu Martha nyumbani kwake wakati wazazi wa marehemu walikataa muimbaji huyo kuzaa na mtoto wao.

Mbosso akiongea kwa uchungu na Bongo5TV alisema bado familia hiyo haijakubali kumpatia mtoto.Msanii wa muziki Mbosso amefunguka kuzungumzia sababu ya kuweka picha za marehemu Martha nyumbani kwake wakati wazazi wa marehemu walikataa muimbaji huyo kuzaa na mtoto wao.

Mbosso akiongea kwa uchungu na Bongo5TV alisema bado familia hiyo haijakubali kumpatia mtoto.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents