Videos

Video: Mudy Moko – Mwanenu

By  | 

Msanii Mohamed Omary a.k.a Mudy Moko, ni mtoto mwenye umri wa miaka 10 anayesoma darasa la nne. Mudy Moko anafanya muziki wa singeli, ni mtoto mwenye kipaji cha uimbaji na tayari amerekodi audio yake kwenye studio za C9 record na kufanya video na kampuni ya Kwetu Studios. Tazama hapa chini vide yake mpya wimbo unaitwa ‘Mwanenu’.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments