Burudani

Video: Muki wa Makomando afunguka kuingia kwenye orodha ya ‘chovya chovya’

Msanii Muki kutoka kundi la Makomando, amefunguka kuhusu tuhuma za kuwa na skendo ya kutoka na wasichana wengi zaidi.

Muki ameiambia Bongo5, hanaga tabia hizo na amekuwa akijizuia zaidi ndio maana mpaka sasa amefanikiwa kupata watoto wawili pekee kwa mama tofauti.

“Hapana mimi sinaga hizo tabia wewe mwenyewe unanijua, muda mwingi sana napendaga kukaa chini na kuumiza kichwa. Japo kuwa kweli watoto wa kike wananipenda san asana, sasa sijajua kwa sababu ya sauti yangu hii lakini wananipenda sana.,” amesema Muki.

“Ninapataga mitihani mingi sana lakini mimi mwenyewe najitahidi jinsi ya ku-balance basi. Nimebalance sana ndio nikapata watoto wawili, mama tofauti na inajulikana. Ndio nimebalance hapo,” ameongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents