Burudani
Video: Muziki wa Bongo una nafasi ndogo
Dj Vasley amaweka bayana kuwa muziki wa Bongo una nafasi ndogo katika club za muziki nchini. Hivyo wasanii wajitahdi kuongeza uwezo ikiwemo na watayarishaji wake.