Burudani
Video: Mwaki ft G Van – Nishike Mkono
Msanii wa muziki, Mwaki ambaye ni mlemavu wa macho, ameachia video ya wimbo wake ‘Nishike Mkono’ akiwa amemshirikisha G Van. Video ya wimbo huyo imeongozwa na director Flex Montage for Urban Motion Films.