Aisee DSTV!

Video: Mwakinyo amevunja rekodi yangu ya miaka 10 – Francis Cheka

Bondia wa uzito wa juu duniani, Francis Cheka amesema kuwa Hassan Mwakinyo amevunja rekodi yake kwa kushika nafasi ya 16 ulimwenguni ambapo kwa upande wake aliwahi kuwa namba 17. Mwakinyo amepanda kwenye nafasi hiyo baada ya kumpiga bondia wa Uingereza.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW