Burudani

VIDEO: Mwana FA atinga BASATA kuwaombea msamaha Diamond na Rayvanny ‘wimbo mzuri, wawaondolee adhabu’

Rapper Mwana FA ametinga BASATA  na kama Mjumbe wa Bodi ya Baraza hilo, kuomba adhabu iliyotolewa kwa Diamond na Rayvanny ya kufungiwa wimbo wao wa Mwanza aidha ifutwe au ipunguzwe.

Akiongea na Waandishi wa Habari mapema leo Novemba 14, 2018, Mwana FA amesema wimbo wa Mwanza ni mzuri kusikiliza kwa kijana aliyevuka miaka 18 hivyo BASATA wangeangalia namna ya kufuta adhabu hiyo.

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents