Habari

Video: Mwenyekiti mpya Bavicha atema cheche kwa mara ya kwanza

Baraza la Vijana Chadema (Bavicha), kupitia Mwenyekiti wao mpya, Patrick Ole Sosopi wamezungumza mambo mengi yanayoendelea katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ikiwemo uchaguzi mdogo wa madiwani, kukamatwa kwa baadhi ya viongozi. Huu sio wakati wa sisi kulalamika kuonewa na CCM huu ni muda wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuonewa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents