BurudaniVideos

Video: Mwisho afanya kweli!

Jumamosi iliyopita Mwisho alimvisha pete ya uchumba Meryl ndani ya jumba la Big Brother, kwa upande wa Meryl walihudhuria mjomba na shangazi wake wakati upande wa Mwisho alikwepo kaka yake.

{hwdvs-player}id=1168|tpl=playeronly{/hwdvs-player}

Furaha yao haikudumu sana kwa vili kesho yake baada ya kupokea kura chache Meryl imebidi atoke katika jumba hilo na kuhamia ndani ya “Barn”.

Tuendelee kumpigia kura Mwisho….akishinda mahela ya Big Brother zitamsaidia kugharamia harusi na kujipanga kwa maisha ya ndoa!

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents