Videos
Video: Nachotaka Cover – Lightness Luther
Label ya GMI imekuleta wimbo mpya wa muimbaji wa injili mwenye uwezo mkubwa tofauti na umri wake, Lightness. Muimbaji huyo amefanya cover ya wimbo Nachotaka wa muimbaji Emma Omonge kutoka nchini Kenya.