Burudani
Video: Nahisi Alikiba amefanyiwa figisu, mimi sikubali – Ebitoke
Mchekeshaji Ebitoke amesema kutokana na kile kilichotokea katika wimbo wa Alikiba ‘Mvumo wa Radi’, views kupanda na kushika katika mtandao wa YouTube anahisi kuna vigisu vigusu zilikuwa zinafanyika.