Michezo

Video: Naifahamu Yanga SC, Simba SC na Azam FC – Kavazovic

Kocha mkuu wa klabu ya Townshp Rollers, Nikola Kavazovic amesema kuwa amekuwa akiwafuatilia kwa ukaribu wapinzani wake wa michuano ya kombe la klabu bingwa barani Afrika, Yanga SC hasa katika michezo yake miwili ya hivi karibuni ya nyumbani na ugenini.

Nafahamu mpira wa Afrika ulivyo na naifahamu, Yanga SC, Simba SC, Azam FC na baadhi ya timu hizi zinachipukia.

Nafahamu kila kitu kuhusu Yanga SC nimekuwa nikiwafuatilia  hasa wiki iliyopita kwa michezo yake miwili ya nyumbani na ugenini hivyo najua kila nilichopaswa kujua.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents