Burudani
Video: Nandy anastahili kuwepo alipofika – Jolie
Hitmaker wa ngoma ‘Bado Mapema’, Jolie kutoka THT amesema Nandy ni msanii wa kike ambaye kwa sasa anawashawishi wasanii wengi wa kike kufanya vizuri na mafanikio aliyofikia anastahili.