Burudani

Video: Naomba Mungu ipo siku nitaacha muziki, nataka tu kuacha nimpumzike kabisa – Mr Blue

Muda wowote kuanzia sasa hivi huwenda rapa mwenye mafanikio makubwa katika muziki wa Hip Hop, Mr Blue akaacha kufanya kabisa muziki. Amesema mke wake amekuwa akimshauri hivyo kwa muda mrefu kitu ambacho kimemfanya aanze kufikiria kuchukua uamuzi wa kuachana na muziki ili aswali.

Related Articles

4 Comments

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents