Burudani
Video: Nash Designer akiongelea wimbo wake mpya ‘Ndere’
Producer wa Surround Sounds Studio, Nash Designer ambaye pia ni muimbaji, anatarajia kuachia wimbo mpya uitwao ‘Ndere’. Mtayarishaji huyo amepita kwenye studio za Bongo5 kuelezea maaana ya wimbo huo. Mtazame hapa.