Videos
Video: Natacha – Gerageza
Msanii Natacha kutoka Burundi ambaye aliwahi kufanya ngoma na Yamoto Band ‘Unaniongopea’, ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Gerageza’. Video imeshootiwa Bongo na kampuni ya Kwetu Studio.