Burudani

Video: Natamani kufanya kazi na Harmonize – Level Star

Msanii chipukizi wa muziki wa Bongo Fleva, Level Star amesema matamanio yake ni kufanya kazi na Harmonize, huku akimsifu ZUCHU wa WCB kuwa amepokewa vizuri zaidi ukilinganisha na wenzake Ibraah pamoja na Tommy Flavour ambao wote watatu wametoka katika game ya sanaa wakati mmoja.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents