Msanii wa muziki wa injili Natasha Lisimo ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Ufunguo akiwa amemshirikisha muimbaji mkongwe wa muziki huo, Bahati Bukuku. https://youtu.be/ZTdrpw9JjRs