Kituo cha TV cha kimataifa cha Arise Africa, kimerusha makala maalum kuhusiana na brand za nguo barani Africa zenye gharama kubwa zaidi na kumuongelea mbunifu wa mavazi wa Tanzania, Sheria Ngowi kama mfano (case study).
http://www.youtube.com/watch?v=uCZnf0hz9_g&feature=player_embedded
Kituo hicho kinachoonekana kupitia (Sky Channel 234),kilimuita mwandishi wa website ya afroblush.com, Louisa Kiwana kumuelezea Sheria Ngowi kama case study ya kukua kwa tasnia ya fashion barani Africa.
ARISE NEWS ilianzishwa na mnaigeria Nduka Obaigbena.