Video: Ni lazima tumsaidie Papii Kocha – Petit Man 

Boss kutoka PRec –RoofTop, Petit Man amezungumzia ukaribu wake wa kikazi na wasanii Babu Seya na Papii Kocha, pia amefunguka iwapo anaweza kuwasimamia kupitia menejimenti yake.

 

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW